Mbeleko

Rayvanny

Walisemaga duniaaaa
Ina mapambo yake
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawakeNimezunguka nimefika kwake
Siwezi ficha nimeshanasa kwa pendo lake

Rabana kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
Hata mama kakusifu sana
Ni tofauti na wale wa jana
Kule nilizama
Tafadhali niokoe mama ma
Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only
Sitopenda wende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe

We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe

Mmmhh mh
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shape sio tembo nitaweka nembo watoto kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shape sio tembo nitaweka nembo watoto kupata

Koleza moto tupike tembele
Kisamvu cha nazi njegere
Zisikutishe kelele sikuachiii
Linda na shamba wasije ngedere
Kuku niite kwa mchele
Mi sipigani na wewe
Mi natii

Ndio maana kwako nimezama
Sitaki mi wanitoe mama ma
Unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only
Sitopenda wende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe

We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe

Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako
Jiachie tu nikubebe

We kama mtoto minakubembeleza
Jiachie tu nikubebe
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza
Jiachie tu nikubebe

Jiachie tu nikubebe

Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto minakubembeleza
Najicho lako la kungu kama lanikonyeza