I Love You

Rayvanny

Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
Machozi, mizigo, vikwazo
Ila yote umenitua
Naomba penzi letu lisife kesho
Ukanipa presha, mawazo
Chonde mama utaniua

Na vile hujui kununa, fundi wa kudeka
Hata sijakutekenya unacheka
Ooh, tambua ushaniteka
Hata bila chakula nanenepa, my love

Salama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau

Lawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukanyanyasika
Hilo mpenzi usahau

Me oh, oh, oh (ah eh)
Mi amor (ah eh)
My love (ah eh)
Te amo (ah eh)

I love you
I love you
Baby, I love you
I love you

I love you (minakupenda sana)
I love you (usiniache mama)
Baby, I love you (me oh)
I love you

Sura ya mama, umbo lawama
Una ya bia miguu
Unanichanganya ukiinama naangalia tattoo

Nipakulie chakula mama sikomi
Asubuhi, mchana mpaka jioni
Michezo unaijua mama msomi
Pini kitovu, kifua na sikioni

Salama nikiwa na wewe
Hata kama nina shida nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau

Lawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukanyanyasika
Hilo mpenzi usahau

Me oh, oh, oh (ah eh)
Mi amor (ah eh)
My love (ah eh)
Te amo (ah eh)

I love you
I love you
Baby, I love you
I love you

I love you
I love you
Baby, I love you
I love you