Anapiga Pic

YBW Smith

Yoh cheki
Ei ei
Tano nane
Skia
Ei
Ei
Ei
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Jo dance kwa hii tune nikiroga beat
So manze hepa si watu wanabreak up
Anapiga pic ndani ya nyumba na bado ananimaliza
Tukiskiza reggae ikitubeba tukiwa matire
Jo dance kwa hii tune nikiroga beat
So manze hepa si watu wanabreak up
Yoh manze hepa si watu wanabreak up
Kuna watu wawili wawili wanachezwa
Na bro ni mara ngapi unamwita ukilengwa
Na kama hujai notice fathela alimteka
Siku hizi kwela wako ni kulalia tu pesa
Mabuda wa vitambi ju ya prado si Impreza
Na nguna akiwa maji anatekwa bila pressure
Form zake za kulewa Zi hupandisha temper

Sare stori mingi tulikutana December
Ukimuona ako na daro, we jua kuna mambo
Kitu one time, ka ni biz akule vako
Backdoor tuko jamdown ni kulight up

Mi nadai short fine ass na mabundles
Baby calm down bado una whine
Kuzidisha morio wake fine ye ni lightskin
Yaani dem kitu safi
Huwezi fikiria mara mbili ulale ndani

Napatana na Wendy anapanga ju ya wikendi
Anadai aende club ashikishe hizo vibeti
Vibeti za masponyo akitingisha kiuno
Anadai ashike ball ndo apelekwe mpaka Europe

Stori za uongo
Ju sponyo ni wa kiyolo
Anadunga hadi magoro
Na kwela ni mamboto
Achachishe kwa mamorio
Ifikie hadi mokoro
Na doba zangu genje kuteka mtoto wa Sonko
Mtoto ni kisonko

Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up

Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga big song
Manze hepa si watu wanabreak up

Yoh manze hepa si watu wanabreak up
Ah cheki mamaz naskia tifi
Umekuwa nditni zishike ukose usingizi
BuruBuru niko ngwethelize na wazingting
Mratish na mangeus jo ni party jo

On a Monday nipate jaba na mashash
Twende Tuesday nipate na ule matha tukidance
Fika Wednesday nikiroll tu mashash
Thursday nipate party
Na Friday kazoze

Si uongo tulipataa soko
Anakam juu ya mangoto
Anadai ye ni poko
Na bado siamini amekuja na mawhiskey
Anadai twende missing
Twende Eastleigh Mzee Ali cash money
Nipate na kimali umedungia mali safi
Na ghetto ka ni bani unabakishwa na shati
Namba nane, nipate baze tano nane
12′Oclock juu ya sana

Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga beat
So manze hepa si watu wanabreak up

Anapiga pic ndani ya nyumba
Na bado ananimaliza
Tukiskiza reggea ikitubeba
Tukiwa matire jo
Dance kwa hii tune
Nikiroga beat
So manze hepa si watu wanabreak up

Daftar lirik lagu YBW Smith