Yesu Nitie Nguvu

William Yilima

Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama .
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama .
Yesu wewe nitie nguvu Baba
Nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama .
Eh Baba, eh Mungu wangu
Nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama .
Nilikotoka ni mbali
Niendako karibu kufika
Nimalize mwendo wangu salama
(Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama) .
Yesu wee, pigana nao wanaopigana nami
Nitie nguvu ninapoishiwa nguvu
Adui zangu wakitaka kupigana nami
Njia yao iwe giza na utelezi
Wee Baba, mwovu mimi akinijia
Maisha yangu yafiche ubavuni mwako .
Pigana nao wanaopigana nami
Nitie nguvu ninapoishiwa nguvu
Adui zangu wakitaka kupigana nami
Njia yao iwe giza na utelezi
Mwovu mimi akinijia
Maisha yangu yafiche ubavuni mwako
Wengine walipochoka safarini
Hakuwepo wakuwatia nguvu wakakata tamaa
Yesu wee, nitie nguvu
Nimalize mwendo salama
Wengine walipojeruhiwa
Hakuwepo wakuwafunga cheraha wakafa njiani
Yesu wewe, nifunge cheraha nikifjeruhiwa
Nimalize mwendo salama
Wengine walipojaribiwa walishindwa stahimili
Wakarudi nyuma
Yesu wee, nitie nguvu
Nimalize mwendo salama .
Na mimi nimetoka mbali
Nimepanda milima nimeruka makorongo
Nimekanyaga miba nimekwepa mishale mingi
Lakini bado sijafika
Yesu wee nitie nguvu, Yesu wee nishike mkono
Yesu wee, nitie nguvu
Nimalize mwendo salama .
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
END

Daftar lirik lagu William Yilima