Balalu

Wakadinali

Pira ni pyamu na ndranya mbricha

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)

Leta ujinga tubeef for real
I′m not vegan I'm gluten-free
Mi si mjeru ati " Guten Morgen"
Kutwa morning mi mjehuri
Inzagi goshodo huko Balaluu
Ishidi mastingo kama waru
Gun imelandia tusupuu
Bangi imelandi matawi ya juu
I′m sorry ile last time kweli nilikukosea
But, it will happen again
Chocha ye mrasa mbona alipotea?
Bahati tu manze ju angemblein
Story ingekuwa disaster
Habari ya kujikojolea, lia lia
Fikiria, complain, meno 32 and then umaintain
Burushwa kanairo must unaimunch
Ama utanyonywa damu kama Onyanch
Story za ovyo mi huwanga na branch
Mwanaume, haufai kukula lunch
Watch, mziki ni bizna we, ndio inanilipa
Album stray ni bitter, tunawagandamiza
Niko daily mboka niko mzozo
Sispendingi ati zile za unyonge
Mdenge kama ni bonzo
Ni mshiet, ni shonde
Domani vako za mavoglo
Mapenzi acha hapo nje
Dem akinona ovyo ovyo
Mpee simu apitie akonde

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)

Si hatutoki na tunaharibu (Zoea)
Nikuje na doski ama ni akimu (Zoea)
Msupa wako akiwa na mimi anazima simu (Zoea)
Kivela lazima kiwake ata kiwe illegal (Zoea)
Ukiskia bro amenikamia home
Jua hiyo form ni Erokamano
Msupa mbona unahaga bigi
Na hauna ganji umekalia doh
Muite "ksss ksss," kamia form
Tei ni zote mchanganyo
Tire ndasus na kanyamo
Hataki umdishi we ni kama bro
Jaba fresh Kariokor
Mkwanja cash hapana joke
Anatext text, flash, text, text, flash block!
Kwani tunaulizana?
Bei ya ngata inaumiza mans
Bado wanachocha mavijana
Hawabongi whenever Scar is around
Vibare, hatuwezi reason nao
Maforeign washanga hizo loud
Ndai stolen bitch ni wa colle
Wanadai muone ashagatupa mbao
Itanikinda na aroma inatupa
Tire anachimba inanichoma makucha
Kusoma unasoma unatokea Juja
Unachoma unachoma unapoteza future

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)

Allow me kwanza nijiintroduce
Loudest kushinda pastor Kush
Essence aliona burning bush
Kumbe ni mwere anaiva kistuch
Si ndio tulimndasus kwa boot
Managerr managerr managerr my foot
East joh nimejaza ma goons
Watokee na senke matokeo utashtuka
Too bad huwezi nijua
Too bad mpaka unabuya
"Who's that?" Mwambie ni sewer
Giz jana kuliwaka mvua
Generation yao ni sheesha
Unawacompare na si wa kuvuva
Umeshinda ukinitoanisha
Sijui za fare na sijawahi kukula
Na serve tea asubuhi
Kuna watu hawaezi ishi bila rumour
Kwani hamcheki funny
Venye nyi hamna sense of humour
Vumilia kaa inakuuma
Kuma isikufanye mtumwa
Train ya drill hapa si boomba
Vegan niliendea fulham
Samo ya street piga tapo
Sionyeshe keja labda lojo
Momo ametoka pango
Ambieni corporal nimeramo
Yo, mofo toka form four
Aha, yo, mofo toka

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)

Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea (Zoea, zoea)
Tire ndaksus na kanyamo
Pira ni pyamu na ndranya mbricha
Ndula ni matisha na ni mtush
Folks na fam huwezi ni, zoea, zoea
Ukichachisha mbogi itakupotea (Zoea, zoea)
Hata ukinibondea siezi kukusotea