Them call me Arrow Bwoy
Aah Sudi
(Vicky Pon this)
Halibagui mtoto mtu mzima
Goma lapa moto so idima
Nakama ushanisoma mpango mzima
Hili goma lapa moto
Nasema halibagui mtoto mtu mzima
Goma lapa moto usiwai pima
Nakama ushanisoma mpango mzima
Injili ngoma lapa moto
Linavyokwenda na unakwenda
Twende nalo
Goma lishajiachia
Twende nalo
Aaaaaa!
Oooooh!
Linavyokwenda na unakwenda
Twende nalo
Goma lishajiachia
Twende nalo
Meli ishang′oa nanga
Basi fanya hima usiachwe nyuma
So move your body like a snake girl
Twende nalo
Wolololo
Twende nalo
Usihate twende nalo
Twende nalo
Twenda nalo
Twende nalo
So move your body like a snake girl
Twende nalo
Lolololooo
Twende nalo
Usihate twende nalo
Twende nalo
Twende nalo
Twende nalo
Siku hizi kwetu pesa ndio marashi
Nusia ka aroma
So take irt slow don't rush it
Anza na kangoma
Gimme licklle this gimme lixklle that
Supu ya pweza na mshikaki
Peremende kende leaky leaky that
You better know them call me Arrow Bwoy
Niko na kashamba huko paradise
Nitakuweka huko juu utafeel nice(we ee eeh)
Linavyokwenda na unakwenda
Twende nalo
Goma lishajiachia
Twende nalo
Aaah eeeh
So move your body like a snake girl
Twende nalo
Wolololo
Twende nalo
Usihate twende nalo
Twende nalo
Twenda nalo
Twende nalo
So move your body like a snake girl
Twende nalo
Lolololooo
Twende nalo
Usihate twende nalo
Twende nalo
Twende nalo
Twende nalo
Ah ah sim simma
Who got the keys to my beamer
Hapa mizinga hatutambui mama pima
Lighter tembeza mjani
Goma limeshika nje na ndani
Wahajipa wana fulani
Lazima tukitoka hapa italala ndani
Kama unapenda muziki stand up
And nevermind them so make you line up
Arrow bwoy na sudi boy ndio pilot
Wanafanya unafeel so nice
Ah mi seh inama, inuka
Fanya kama vile unatafuta
Inama tena inuka
Twenda nalo
Twende nalo