Skiza sauti
Kama jua story yangu inaanza from eastlando
Buruburu ndio mtaa my journey began nilifunga viragoRiding kwa manyanga zimeainishwa
Taz Mania, Fiasco, Drama, Dodi, Bareda,Bel Air
It taught me the power of identity
Mathree hazikuwa tu ni mikebe in yellow line uniform
That′s how I was cultured not to conform
Mat zilikuwa na life
No wonder ziliachialia mahewa
Taught me how to be a trailblazer, trendsetter, culture maker
Every Saturday riding to McMillan library
I was seeking knowledge jinsi mtafutaji hachoki
I was riding on the wings of the sound of the 90's
Started learning the city at a young age
Culture so vibrant and ever-new
That′s why I'm ever on the cutting edge
Bidii primary niki better my best
You made me an all rounded citizen
Public speaker, debater, mjadala, scout leader
Creative writer, athletics, drama, quiz, music, pastor
You taught me the power of endless possibilities when the book is open
Upppah kipenzi
Upper Hill school, from way back music's been the tool
4G class of 06, comrades who stick
Ni sababu ya mziki nilijipata ndani, mgeni wa serikali
You cheered me on, sikukata moyo kwenye safari
University of Nairobi nikaenda higher learning
Wasee wangu wa BA - Baba Alinituma
8-4-4 tulimaliza, and just like hizi mistari tuli Murder
True to the prophecy kama mtume
Kwa mataifa, wafalme, hadi mwisho wa dunia
Kirasmi sasa, Baba amenituma
True to the prophecy kama mtume
Kwa mataifa, wafalme, hadi mwisho wa dunia
Kirasmi sasa, Baba amenituma
Niache niende
Niache niende niende niende
Nitume nitumike
Nitume nitume nitume nitumike
Nairobi mji wa ujana
Unemipamba na ujuzi sawasawa
Kenya mama tena baba umekuwa mwema tena sana
Lakini ipo wakati inafika
Mwana anamwacha
Baba naye mama
Na kuambatana
Na wake mkewe
Nami zamu yangu ishafika mi nienede
Nao moyo wangu unaimba
Niache niende niende niende
Na mdomo wangu unaiga
Nitume nitume nitume nitumike
Kama mvua, maneno yangu ni ndege mie nisha tua
Nipate Manhattan, Brooklyn ma borough safarini nang′aa niko on tour
Miguu yangu mizuri, nasambaza habari njema
Kama daima mkenya, mbio masafa napiga
World record uliza Kipchoge naacha wasimulizi wakipima
Mie balozi nawakilisha kwa kina na vina
Utukufu nchi yangu nilete kwa wima na sifa
Kama yusufu, nalisha dunia kwa maneno yangu ukame nakatiza
Ndoto natimiza
Kama Danieli, nalisha wafalme,ukalimani wa ndoto,ufukara naangamiza
Ndoto nazidi kutimiza
Kama Yesu, siwezi kutenda neno ila lile ninaloona baba anatenda
Ndoto za Baba ndizo natimiza
Wahenga walinifunza mwacha asili ni mtumwa
Nami zamu yangu kuwafafanulia hii siri
Maana Baba amenituma
Wahenga walinifunza mwacha asili ni mtumwa
Nami zamu yangu kuwafafanulia hii siri
Maana Baba amenituma
Niache niende
Niache niende niende niende
Nitume nitumike
Nitume nitume nitume nitumike
Nairobi mji wa ujana
Unemipamba na ujuzi sawasawa
Kenya mama tena baba umekuwa mwema tena sana
Lakini ipo wakati inafika
Mwana anamwacha
Baba naye mama
Na kuambatana
Na wake mkewe
Nami zamu yangu ishafika mi nienede
Nao moyo wangu unaimba
Niache niende niende niende
Na mdomo wangu unaiga
Nitume nitume nitume nitumike