Yoh, imetoka east Kwa Mabeast
Listen!
Vibes and inshallahKuna dooh madem no wahala
Hatulali tunakesha hadi summer
Najua mih ni sinner so lazima nitajigamba
Hizi ends everybody capping
Waliwacha shule sikuizi wanafanya rapping
Mih ni bomb nimeland Nagasaki
Hapa badlands si unajua mih ndio sunny
Kwa hii game we ni junior shika nappy
You better grow up uwache kufanya gwangii
Hizi pupa unaeza rudishia fally
Becoz I′ll never do siezi cheka we si mfunny
Skia uh
Si rahisi never settle for less
Am a sinner I need to confess
Napigwa kila siku na maregrets
Hello hello huwezi bench press?
Kila siku minapatanga ma lessons
Kulala njaa ndio inanipa motivation
Bright future I'll sleep in a benzo
Nakuanga na hii kitu imenikula sana mental
Hakuna rappers hawa wote NI ma wannabes
Naeza toa diss ni vile Tu wakona families
Cheki luk si ni flower na wanalabees
Nilipanda bei sikuizi nimeshinda cannabis
Kwa hii rap wanasema mih ndio best one
Bado east na west mih ndio centre
Mih ni boss so nadai some salesman
Kama ukona harusi minakuja kama bestman
East Kwa Mabeast nimetoka Yani side hii
Napenda usafi Sana mih na mean Yani hygiene
Sipendi Moshi mih napenda Sana changli
Ndio maana ukinicheki kuna vile nimedry lips
Ka ni sheng bado nawakanashi
Nafuata protocol kama skeng jooh na Tommy lee
Naskia manzi yako ananidai lakini simdai mih na maintain hygiene
Si usiku please call me tomorrow
Najua hauna dooh so unataka kuniborrow
Sina rolls sikuizi mih natinga kilo
Nataka kuenda high so navuta chini ya pillow
You can never talk about mih Nani
Nimekushinda na pesa hadi akili for real
Am never used kuongea hivi shit
Saa zingine inabidi ndio nifeel Niko fit coz
Naaminia kuna siku itafika
You′ll see mih on a jet nikihesabu hizo mamita
Black man kama Giza ya saa sita
It's sounds very funny nilipea mzungu mimba
I'll never do this craft for free
Ukifika ligi yangu you′ll know what I mean
Uh
When your gal sees me she a pree
Ananiita bad man saa zingine dadi
Skia
We pretend like shit never happen
Bad boy nimechange kama baken
Niliuza bed ndio nimfinyie Kwa pallet
Kama EPL nikona mechi on a Sunday
Mama calls tell mih son
Never take it easy you are a winner you deserve
Watatrash talk but I tell you you are the one
Weka God mbele alafu boom bap hii ni mad
She wants the wrong loving namuuliza baby gal Una roho ngapi?
Ati Anaitaka roho ndani nanukisha mbaka atachoma ubani
East Kwa Mabeast nimetoka Yani side hii
Napenda usafi Sana mih na mean Yani hygiene
Sipendi Moshi mih napenda Sana changli
Ndio maana ukinicheki kuna vile nimedry lips
Ka ni sheng bado nawakanashi
Nafuata protocol kama skeng jooh na Tommy lee
Naskia manzi yako ananidai lakini simdai mih na maintain hygiene
Ni asubuhi naamka nikiwa blessed up
Nimepiga shati toja ndula Niko dressed up
Kuna kitu inanikula Niko stressed up
Nafeel siko poa kuna mahali nilimess up
Boom!!