Mi ndo uanzisha na bado mi ndo umaliza,
Mi ndo uwakisha na bado mi uwazima,
Ambia kenyapower sitaki stima,Zangu geothermal uwezi zima,
Flow ndani ya thermos iwezi poa,
Hizi roots deep sana bana ata wale
Washamba wa kushrub kuna venye awaezi ng′oa,
Najipenda sana siezi oa,
Kimfanyikazi kamewaka,
Ni kufanyie kazi kazi mi si worker,
Si trash lakini bado wanaitaka,
Nikipanda stage wanaitaana,
Nikishuka wanajua nmeimurder,(murder)
Bila suti niko official,
Mabao nyingi cheki scoreboard,
Ubao kibao no wonder wana Chalk jo,
Asemoke Oliel,
Asemoke Oliel
Asemoke Oliel,
Asemoke Oliel,
Kamewaka sana bana(bana),
Kamewaka sana bana(we lit),
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Kamewaka sana bana(bana),
Kamewaka sana bana(we lit),
Ulalala,
Hii raia bado naskia imedoz bana,
Kurarara,
Naskia nyi ni under-age ata hamjatoboa kuvote bana,
Ma politician wametugeuza machete
Venye huku kwa street daily wanatupanga,
Manguruwe sana wanajikaanga,
Big brother tangu nikue mchanga,
So, mi ni E-sir we ni habib namanga,
Chuor Nyaloka, Villa rosa, kempinski na sijiskii
God MC uliza shinski,(hee)
Ni mimi pekee,
Victoria boy design me uuza hizi samaki wanadai siku izi
Mi ni mselfish,
Wamesahau nikiwa stage late night nikipiga
Show hao walikua pale chini wakipiga maselfie,
Hauko sure shika njefi,
Fifty-fifty hadi wableki,
Nabring back Zi namove forward, Ambia promoter alete show man,
Neckfreeze, winter mi ndo snowman
Unataka tkuingia mi ndo door man,
Ambia mabouncer wazidi ju mi ndo nkona door man,
Asemoke Oliel,
Asemoke Oliel
Asemoke Oliel,
Asemoke Oliel,
Kamewaka sana bana(bana),
Kamewaka sana bana(we lit),
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Kamewaka sana bana(bana),
Kamewaka sana bana(we lit),
Asemoke Oliel
Ma e magenga e-liel
Pile pilee wamiel
Pizzo de what
Uliza dayo atakushow pizzo the Diel (ei)
G.O.A.T ei mbuzi ni me ei
Mae litna mae thitima,
Oma ilitna, Nyamama pimna
Afande usinivunje sina noma,
Niko lit lakini cjachoma,
Fom gani,
Ziko bomas
Rada gani cjaziona,
Form34B hatujaziona,
Uliza fire fighters watakushow, oliel
Uliza chief-chef atakishow, Oliel
Uliza pedy buda atakushow, Oliel
Ukijipata hell utatishow, Oliel
8-town ganggang'
Asemoke Oliel,
Asemoke Oliel
Asemoke Oliel,
Asemoke Oliel,
Kamewaka sana bana(bana),
Kamewaka sana bana(we lit),
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Asemoke oliel,
Kamewaka sana bana(bana),
Kamewaka sana bana(we lit),
A-town manze joh bana.
Yaani usiwahi pima,
Usiwahi pima yaani
Haimake sense ka mvuvi kusema mi ni mselfish
Cheza chini buda
It′s another Oone)