Bebi Bebi

Nyashinski

Only you bebi
Only you bebi
You′re my only oneMy only one bebi

Some say a fool never changed his mind
Well may be
Baby I'm a fool for you
Mapenzi kipofu ukipenda maovu huoni
Ooh love is blind never seem so true

When I′m broke natumianga bro
Please call me
Akipiga naomba dooh
Mbona kuna message
Inajitumanga send me money
Tukate long story short yoyooo

Vumilia na mimi, please don't leave me
Don't let money the fool you
Sponsors just wanna use you
Namwambia mtoto wa mama asiharibikeee
Ananishoo ni biasharaa tu

Na siwezi mshibishaa na pangangaa tu
Na mwezi ukiisha sina ujanja tu
Na renti ikibishwa huanga blunder tu

Bebi Bebi, kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitasahau mahali nimetoka na we
Bebi me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa tu
Na nikibarikiwa ahadi yangu ni sitahau mahali nimetoka na we

Only you bebi
Only you bebi
You′re my only one
My only one

Girl I wanna, girl I wanna
Girl I wanna take you to my mama
Show her you′re the one for me
I'll never ever never ever leave you
Believe me when I say
You′ll forever be my queen

Yule nala naye kwa dhiki
Ntala naye kwa faraja
Ahadi yangu ndio hiyo
Kama pamoja tumelia, tutacheka pamojaa

Wou vumilia na mimi
Please don't leave me
Don′t let the money fool you
Sponsors just wanna use you
Mtoto wa mama usiharibike

Bebi Bebi, kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu
Mi sitasahau mahali nimetoka na we

Bebi, kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu
Mi sitasahau mahali nimetoka na we

Only you bebi
Mahali nimetoka na wewe
Only you bebi
Only you bebi
You're my only one

Okay sa naicheza ka bubu
Baby no more talk just do
Weh ni mtamu ka mabuyu
Hujawai kuwa chini, uko juu

Forever be my only one
Tukiachana itaniuma na
Najua kuna nigga anangoja nichome
Aruke ndani ka superstar
Usiache ihappen, ishikilie ka siri
Ukimake it life then nishikilie pia mimi

You make me whole Bebi
Don′t let me go stay beside me
You make me go plead
How will my heart beat without you

Bebi Bebi, kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu
Mi sitasahau mahali nimetoka na we

Bebi, kwani me wakati sina
Leo sina kitu kesho ntafanikiwa
Na nikibarikiwa ahadi yangu
Mi sitasahau mahali nimetoka na we