Nivute

Mercy Masika

Nmeishi kwa nyumba yako, oh
Miaka mingi
Lakini sasa nataka kwako, ohKusongea zaidi

Upendayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo
We-eiwe

Upendayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo
We-eiwe

(Nivute) nivute eiye Baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama
Daudi (oh-ooh)
Njia zangu maisha yangu
Yalingane na neno lako
(Yalingane na neno lako)
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze
Oh-oh

Nimeamua maisha yangu
Kwa utukufu wako
Yesu ukiwa nami
Oh wanibadilisha

Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu
We-eiwe

Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu
We-eiwe

(Nivute) nivute eiye Baba karibu na wewe (karibu na wewe)
Naulenga moyo wako Baba kama
Daudi (njia zangu)
Njia zangu maisha yangu
Yalingane na neno lako
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze

Nivute eiye Baba karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama daudi
Njia zangu maisha yangu
Yalingane na neno lako (oh yea yea yea)
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze

(Oh nivute) nivute eiye Baba
(Oh nivute) karibu na wewe
Naulenga moyo wako Baba kama daudi
Njia zangu (njia zangu)
Maisha yangu (njia zangu)
Yalingane na neno lako (oh-ooh)
Njia zangu maisha yangu, yakupendeze we, oh-oh

Ooh nivute, nivute
Nivute baba, nivute
Nivute karibu na wewe eeh