Tegemeo

Kaki Mwihaki

Usikae mbali Nami bwana
Hawa adui wamepanga njama
Wanasema Mungu amemuachaMfuateni mkamateni Hana wa kumuokoa

Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Baba usiniache niaibike
Nifiche niokoe.
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu

Uhimidiwe bwana wa mabwana
Neno lako hili baba ni LA kweli
Mfalme wa wafalme
Ninaamini yote usemayo
Neno lako hili baba ni LA kweli
Mfalme wa wafalme
Uhimidiwe bwana wa mabwana
Neno lako hili baba ni LA kweli
Mfalme wa wafalme
Ninaamini yote usemayo
Neno lako hili baba ni LA kweli
Mfalme wa wafalme

Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Baba usiniache niaibike
Nifiche niokoe.
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu.
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Baba usiniache niaibike
Nifiche niokoe.
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu.

Tegemeo
Wee ni tegemeo langu
Tegemeo
Wee ni tegemeo langu
Usiniache niaibike
Nifiche niokoee.
Tegemeo
Wee ni tegemeo langu
Tegemeo
Wee ni tegemeo langu.

Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Baba usiniache niaibike
Nifiche niokoe.
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu.
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Baba usiniache niaibike
Nifiche niokoe
Wee ni tegemeo langu
Wee ni usalama wangu
Tegemeo langu
Tegemeo langu

Daftar lirik lagu Kaki Mwihaki