Daktari

Ethic Entertainment

Motif di don

Bazu, big man, bazuBazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Big bang, bang, bang, bamboo
Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Big bang, bang, bang, bamboo

Nimekucheki toka zamani
Juu unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani

Eh, tunastep na tei inakam
Tuna-left na Fay anakam
Gonga sana, tear itakam
Na ata akikuja, booster ki-sub
Eh, gonga,gonga, gonga tukigonga
Nyonyi pongi, nyonyi ukiigonga
Bonga, bonga, msupa haujanipea ndom
Ukaambia afande mbele tukisonga

Nimekucheki toka zamani
Juu unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani

Naeza isha, kwa hivyo itisha
Tukiwashe kikichachisha
Kuuguza hatuwezi ivisha
Mbeibisha, unanimaliza
Washa rungu leo unichizishe
Napenda mbu, nitakufurisha
Miezi tisa enda upimishe
Kushibishwa, kumbe uliingizwa

Nimekucheki toka zamani
Juu unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani

Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Big bang, bang, bang, bamboo

Inajitoa choche
Inashuka, inajipata kunyi
Zubaa tu, ikaukie kwa fudhi
Inajaa shimo, unaeza ekwa ngumi
Kujitepa hadi akili situmii (Oo-wi)
Ninambao, na mi humbao saa kumi (Hii-ii)
Mtaa, huwa ku-burn maudi (Oo-wi)
Kujitepa hadi akili situmii (Hii-ii)

Nimekucheki toka zamani
Juu unataka nadhani
Mi ndio hudunga kama daktari
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani
Eeh, ati kwa ndani
Nabaki ndani kwa ndani

Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Big bang, bang, bang, bamboo
Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Bazu, big man, bazu
Big bang, bang, bang, bamboo

Daftar lirik lagu Ethic Entertainment