Salome

Diamond Platnumz, RayVanny

Kioo akidanganyi mama
Umejipodoa umepodoka
Mwendo na shepu vyote mwananaMimi suruari yanidondoka
Tukimbizane nini salome wangu?
Iyo michezo ya jogoo
Mbona watizama chini salome wangu
Ukimuona jongoo
Inama kidogo shika magoti
Nimesimama kama ngongoti
Mtoto jojo sio roboti
Chumbani bingili bingili sambasoti

Unanitekenyaga ukinyonga salome
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga aaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe

Utamu kolea aprokoto
Ting′ari ting'ari ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama kobokoo
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda, huwa sienda
Ngenge ni nganganga

Unanitekenyaga ukinyonga salomel
Unanitekenyaga ukinyonga
Unatikenyaga ukinyonga kweli
Unanitekenyaga ukinyonga Aaaha!
Hoera makulu vane, hoera ngambe
Hoera na Zari, hoera ngambe
Mie mwenzako nyang′anyang'a
Mie binzari we ndo nyanya
Baby kwangwaru
Isimamie kama kangaroo
Ibane kangwaru
Babu Juma mpige kwakwaru
Kwakwaru kwakwa

Chambua kama karanga sasa
Chambua kama karanga
Ichambue kama karanga Salome
Chambua kama karanga
I say washa washa moto washa
Songa songa ugali songa songa

Mpaka chini mpaka chini
Wenye wivu wajinyonge leo
Wanye wivu wajiinyonge
Wenye wivu wajinyonge Salome
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge kweli
Wenye wivu wajinyonge
Wenye wivu wajinyonge Salome
Wenye wivu wajinyonge
Wanakodoa kodo wanakodoa (macho kodo)
Wanakodoa kodo wanakodoa (wale kodo)
Wanakodoa kodo wanakodoa (ukinyonga)
Wanakodoa kodo wanakodoa (ukisonga)
Wanakodoa kodo wanakodoa