Unikumbuke

Christina Shusho

Unikumbukee baaaba
Unapowazuru wengine naomba unikumbukee
Usinipite yesuUnapowazuru wengine naomba unikumbukee
Unikumbukee baaaba
Unapowazuru wengine naomba unikumbukee
Usinipite yesu
Unapowazuru wengine naomba unikumbukee

Unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Baba unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Maisha yangu, unikumbuke
Kazi yangu, unikumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke

Mnyonge mimi dhaifu mimi, unikumbuke
Na mama utaka kunyonyesha, umkumbuke
Ona huyo asiye na kazi, umkumbuke
Lazima na wajane wanalia, uwakumbuke
Kijana huyo ataka mwenzi, umkumbuke
Na mwingine huyu ataka elimu, umkumbuke
Umasikini sasa ndio wimbo, utukumbuke
Nchi nzima vilio vimetanda, utukumbuke

Baba uknikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Shida zetu, utukumbuke
Mateso yetu, utukumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke
Watu wako, utukumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Baba utukumbuke, utukumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Machozi yetu, utukumbuke
Yesu naomba utukumbuke

Ewe mwenyezi Mungu mwenye rehema, mwingi wa utukufu
Bwana wa viumbe vyote
Muumba wa mbingu na dunia
Twakuomba kwa unyenyekevu Utupe hekima na busara
Sisi waja wako tuliokusanyika hapa
Uibariki Tanzania iwe nchi ya amani
Na wote wanaoishi humo wawe na upendo halisi na umoja

Serikali yetu na viongozi, uwakumbuke
Waongoze nchi kwa hekima yako, uwakumbuke
Uchumi wa nchi yetu Baba, uukumbuke
Bunge pia na mahakama, uikumbuke
Sikia kilio cha wa tanzania, utukumbuke
Majibu ya matatizo yakoke kwako, utukumbuke
Tazama majanga yanayotukumba, utukumbuke
Ajali nyingi twazika wengi, utukumbuke

Unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Watoto wetu utukumbuke
Ndugu zetu utukumbuke
Baba, yesu naomba utukumbuke
Machamba yetu, uikumbuke
Bivuko yetu uikumbuke
Baba yesu naomba utukumbuke
Usinipite, usinipite
Usinipite, usinipite
Yesu naomba unikumbuke
Mafu wanowo uwakumbuke
Yesu naomba utukumbuke

Unikumbuke, unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Safarini, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Viliyo vietu unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Utukumbuke, utukumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Nchi yetu uyakumbuke
Yesu naomba unikumbuke
Unikumbuke, unikumbuke
Yesu naomba unikumbuke

Daftar lirik lagu Christina Shusho