Diefan

12code

(B.B.C once again)

(Black Ninja)
Hello 12code, i hope you are so good
Diefan wako, kwa sasa i feel music
Nakuelewa sana, since you got no name
Wako diefan, mithili ya Stan wa Eminem
Nikupe nini, niwe diefan shit
12code hakika, you are the best rap kit
Nikupe nini, nikupe hisia za mimi
Nikupe Tumaini, akupe mtoto iwe Gift
Ama nikupe beat, fanya trap iwe history
Usikike pande zote, kwa map documentary
Punguza kimombo, fanya nyingi kibongo
Usikike mashariki, Kinshasa ya Congo
Watambue 12code, rap kit toka Bongo
On my tattoo real nigga, i got your logo
Napenda kazi zako, zinagusa maisha yangu
Hata nikiwa kwa ndoto, najikuta narap tu
Kuwa fan wako, i feel so special tu
Diefan niachie muziki, nikupe shiling
Kufa sio kazi, kazi kujiua mwenyewe
Na ukitaka kuniamini, jaribu ujionee mwenyewe
Bongo wachambuzi wengi, hawana future
Wacha watunze misingi, 12code weka ukuta
Linta mwisho maliza, inakuwa nyumba
Kesho tuwachomee ubani, si walikuja wachumba

Nakuelewa sana, since you got no name
Punguza kimombo, fanya nyingi kibongo
Usikike mashariki Kinshasa ya Congo
Watambue 12code, rap kit toka Bongo
On my tattoo real nigga, i got your logo

Nikiwa ghetto, nasikiliza ngoma zako
Demu wangu, ana blame kisa simsikilizi Mbosso
Hajui 12code, ni international local
UNO wa miujiza, a.k.a moko
Nipo deep underground, Alberto Ngwair
12code sina kiki, ila nasikika tu kwa snare
Wacha niwachanechane, iwe rap vegeance
Mwisho wakapumzike, rap regency
Ndoa ni wazee kwa vijana, life surance
Rap code wewe ndiyo wangu, rap surance
Wanajua 12code rap nation, so hawajui nikiwa church nafanya gospel
Usisahangae washikaji, wakifanya gossip
Walete hosp, dawa yao ni SP
Napenda HIP HOP, inanipenda pia
Wewe unapenda sababu, wanakuita dear

(Diefan, buy time nigga)

(Black Ninja)

(Yeah, am a Black winger)

Daftar lirik lagu 12code